wagaba
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,106
- 605
Nikiwa nae mbali namtamani na mapenzi yanakuwa juu, ila nikisha kaa nae kwa siku zaidi ya mbili tu, namkinai kabisa hadi natafuta kila mbinu niweze kumtoka. Baada ya wiki hivi, naanza kumtafuta na kubembeleza kwa cost kubwa tu.
Ameniambia "am just using her"
And she said she is now looking for someone who cares. Eti sasa roho inaniuma!
wadau, hali hii inawatokea na nyie au nimelogwa?
Ameniambia "am just using her"
And she said she is now looking for someone who cares. Eti sasa roho inaniuma!
wadau, hali hii inawatokea na nyie au nimelogwa?