mwanzo niichukulia kama chapa ikalale lkn baadae tukachanganyana ikabidi apande daraja kuwa demu lkn she isn't wife material.
Wewe una Jini Mahaba ndilo linalokuharibia hilo penzi lako mtafute mtu aweze kulitoıa hilo jini mahaba ulilokuwa nalo. Ingawa hujasema wewe ni Mwanamme au Mwanamke na una miaka mingapi?Nikiwa nae mbali namtamani na mapenzi yanakuwa juu, ila nikisha kaa nae kwa siku zaidi ya mbili tu, namkinai kabisa hadi natafuta kila mbinu niweze kumtoka. Baada ya wiki hivi, naanza kumtafuta na kubembeleza kwa cost kubwa tu.
Ameniambia "am just using her"
And she said she is now looking for someone who cares. Eti sasa roho inaniuma!
wadau, hali hii inawatokea na nyie au nimelogwa?
kwahiyo akisha mmega ndo anakuwa sio wife material majanga maharage ya mbeyamwanzo niichukulia kama chapa ikalale lkn baadae tukachanganyana ikabidi apande daraja kuwa demu lkn she isn't wife material.
[/B][/COLOR]
Mwache tu akatafute husband material,nawe tafuta wife material.
Umesoma vizuri nilipoweka rangi Eli79? Kijana anadai bint sio wife material,ndio nimemshauri basi amuache ili bint akatafute hubby material na kijana apate wife material maana kilicho sumu kwako kwa wengine dawa!!Hivi vingereza vyenu..
Haya mambo ya wife/husband material yameanza lini jamani
Yani wapo wa kuchapa na kusepa kisa sio wife/hubby material...
Asa nitajuaje kuwa mimi ni hubby material?