Nampenda mwanaume anayejiongeza

Nampenda mwanaume anayejiongeza

Hamlalamiki!! like serious! hamfanyi hata theluthi ya hivyo ila still thread zimejaa humu za kulialia, je mngekuwa mnafanya hayo yote!!!

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ss mbona tunawafanyia vyote hivyo na hatulalamiki? Na bado tunagongewa lkn tunawasamehe.
Nyiny mkifanya kidogo tu mnaanza kulalamika.
50/50 si ndio mnataka au?
Kweny mapenz ya dhat huwa hatuangalii tunavyotoa au kupokea. Ndio maana huwa mpaka tunawasomesha, tunawapa gari n.k
inaonekana ww gold digger
 
Ha ha haaaa ulichokunywa sijakipatia jina nitarudi maana umevurugwa hasa!
 
Nina wasiwasi na huyo uliyenaye siye ndiye unayemsemea maana umeongea alafu ukajigeuka au wako wawili au zadi na wenzie ndiyo unawasema hivyo?
Karne hii binafsi kama demu huna salio ni hit and run faster with no loose of Time uanze mayowe ya Gold Digger alafu tena bado ni Blood Sucker.

Yaani mtaisoma namba na mlivyo wengi hivyo tena...yaani kwa ufupi tu kazi mnayo madem kwani kwa sasa ni 1me=10ke au zaidi.

Ukibahatika kumpata kijana wa chipsi mayai shukuru sana ng'ang'ania hapo for ua info,muda si mrefu wanaume tutatembea na chupi za kufuli maana tutagombaniwa kama mpira wa kona, tena LIBIDO kama mimi.
 
Namshukuru mungu haya hayajawai kunipata mara oh baby nije kwako? Nyambafu kwako napajua? Ahaaaaaaaa umeniuwa ati akumbato kitandani kwako?ahaaaaaaa haitaweza nitokea utaki hotel kafie mbele genye zikinizidi tango ni mia tatu tu no stress.
 
Sema tu kwamba hupewi pesa basi,izo kelele nyingine maigizo tu,,siwezi kuamin kama mwanaume akikupa pesa kila siku na shoping za nguvu pamoja na outing utamuacha,hata kama kitandani ni gogo ama awe hanisi,na hata kama hajui kueka mazingira safi,waga mnavumilia vyote bila kelele na i love nying, msipohongwa ndo mnakuja kueleza haya
hahahah..kwa hiyo Msingi mkuu wa mada hii ni PESA,PESA,PESA.......
 
Nina wasiwasi na huyo uliyenaye siye ndiye unayemsemea maana umeongea alafu ukajigeuka au wako wawili au zadi na wenzie ndiyo unawasema hivyo?
Karne hii binafsi kama demu huna salio ni hit and run faster with no loose of Time uanze mayowe ya Gold Digger alafu tena bado ni Blood Sucker.

Yaani mtaisoma namba na mlivyo wengi hivyo tena...yaani kwa ufupi tu kazi mnayo madem kwani kwa sasa ni 1me=10ke au zaidi.

Ukibahatika kumpata kijana wa chipsi mayai shukuru sana ng'ang'ania hapo for ua info,muda si mrefu wanaume tutatembea na chupi za kufuli maana tutagombaniwa kama mpira wa kona, tena LIBIDO kama mimi.
Ha ha ha ha hongera mi nafanya booking ili mkianza kupungua nikuwahi
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ss mbona tunawafanyia vyote hivyo na hatulalamiki? Na bado tunagongewa lkn tunawasamehe.
Nyiny mkifanya kidogo tu mnaanza kulalamika.
50/50 si ndio mnataka au?
Kweny mapenz ya dhat huwa hatuangalii tunavyotoa au kupokea. Ndio maana huwa mpaka tunawasomesha, tunawapa gari n.k
inaonekana ww gold digger
kwa hiyo hii inajustfy mwanaume kulelewa?
halafu kwa nini siku hizi mnapenda sana kushindana na wadada?
 
Papuchi hasa kwa Dsm ukweli ni nyiongeza yaani beyond bure maandazi ni ghali.
Ninaogopa sana papuchi za Dsm kuliko papuchi za mikoani.
 
heheee pole sana,... ila ukiingia vizuri mbona free p zipo nyingi tu....
 
Back
Top Bottom