Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Ha haa we jifariji tubora upweke kuliko fujo zenu
Ha haa we jifariji tubora upweke kuliko fujo zenu
ndio hivyo bibie...no stress anymoreHa haa we jifariji tu
nyie si mnataka usawa ?? mbona unalialia maana yake umeshindwa kujiendesha bila mwanaume
Usimaindi sana next time ntabeba ndizi mbivu tulie pilau, si freshii!?Ok, lakini mi nimejipinda nikanunua mchicha ili tule tushibe, yy ajatoa senti tano anadai anataka samaki, sjui anahisi wakwe zake ni WAVUVI
Bora iwe hivyo dearUsimaindi sana next time ntabeba ndizi mbivu tulie pilau, si freshii!?
Sio kwa cheko hilo dear kwanini wewe humpendi mwanaume wa dizain hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushamba wake tuduuuh uyo katuaibisha wanaume aiseee
Jamani kuchuna kunaendana na huduma pevuuu, sa tukiacha si tutatesekaaaahaaa ila na wanawake na wenyewe wapunguze kuchuna jamani ndo maana wanaogopa