Nampenda mwanaume anayejiongeza

Nampenda mwanaume anayejiongeza

Yaani fanya tu kama unalipia vitu chakavu. Usinipe cash twende shopping nunua ata viberiti, mafuta ya kujipaka vaseline, nunua ata gesi basi yaani uoneshe unajali kwa kiwango chako.

In fact, as a responsible man, naafikiana nawew katika mambo yaliyo ndani ya uwezo wa mwanaume walau aoneshe ushirikiano kwa kadri alivyo! Nafikiri siyo haki bali yaweza kuwa busara Princess21
 
heheee pole sana,... ila ukiingia vizuri mbona free p zipo nyingi tu....
Huwa ninapoteza kiukweli vichocheo vya hisia kwa madem wa Dsm maana ni wa rahisi kupitiliza unaweza hata usimuombe anakuombea hadi unapata aibu kwa kutongozwa badala ya kutongoza.
Unajua jogoo anapomkimbiza mtetea huwa anatafuta kiki huku mtetea naye akivunga na kujifanya anakimbia kumbe naye ana kiu mbaya sana anamsidia jogoo kupata munkari, lakini Dsm hakunaga hiyo.
Free sana hebu madem wa Dsm mkaze hata kichele kurudisha munkari ya me
 
Nampenda niliempata huku JF aisee ananijali kila eneo. Humu humu ndani kuna watu wanathamini sana watu. I love you darling


Unampenda huyo uliempata humu JF?!! hahahaa. sio kwamba umeandika hii thread ili asome 'ajiongeze' ? au kama hajiongezi asepe.

-Kaveli-
 
Lakini si kuna siku utataka kubadili mboga?,huwezi kula dagaa au uduvi kila siku bhana.
Baba yangu Wa Mbinguni alinikataza kuchanganya!!!! Mume Sio mboga ni binadamu, anaechanganya wanawake au wanaume ni zaidi ya mchawi anayekula mtu mfu.
 
Baba yangu Wa Mbinguni alinikataza kuchanganya!!!! Mume Sio mboga ni binadamu, anaechanganya wanawake au wanaume ni zaidi ya mchawi anayekula mtu mfu.
Kua uyaone,wewe bado hujapata wa kukupagawisha,yaani kila dk utakua unajisemea moyoni,eti daah "siamini kama naota au sivyo,yaani huyu Karanja sijui nimwambie ninampenda?,daah yaani roho inanidunda nikimuona,sijui kaniroga?."Iko siku utajikuta unamwambia hivi"Karanja yaani mimi nakufananisha na will Smith,afu leo umepiga pamba kali?","halafu wewe mbona una roho mbaya jamani?,yaani mwenzio naumia kila nikikuona,sijui umeniloga?".
 
Kua uyaone,wewe bado hujapata wa kukupagawisha,yaani kila dk utakua unajisemea moyoni,eti daah "siamini kama naota au sivyo,yaani huyu Karanja sijui nimwambie ninampenda?,daah yaani roho inanidunda nikimuona,sijui kaniroga?."Iko siku utajikuta unamwambia hivi"Karanja yaani mimi nakufananisha na will Smith,afu leo umepiga pamba kali?","halafu wewe mbona una roho mbaya jamani?,yaani mwenzio naumia kila nikikuona,sijui umeniloga?".
Hahaaaa, Moyo wangu umejituliza kwa Bwana!!!!
 
Endelea hivo hivo huku mmeo anabada vyura huko Corner Bar au vipi?,mwenzi keshachoka na dagaa za Mwanza.
Nasubiri mume mwema, anayethamini ndoa yake na mwenye kujiekewa. Sihitaji mume anayejisifia ngono!!!!!
 
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.

Nina uhakika una miaka chini ya 30 na wanakwambia wewe Ni mrembo sana, Ila wajidanganya.... Ukikua utakuwa na mtazamo tofauti, nakuombea tu Mungu akisaidie ubadili huu mtazamo before it's too late
 
Ukiona sredi mwanaume anasifiwa jua Luna category ya "kutoa pesa"

Daaah jamani sawa pesa lkuwapa tutawapa basi ficheni hiyo interest basi maaana samtaimu manajiabisha na kuwaaibisha wanawake wengine daah[emoji14]

Sio lazima uongelee pesa but wanaume tunajijua so tunajiongeza wenyewe .
 
Duuuh nimeishia kusoma hapo kwenye "mtiane" maana umenifanya nitafute menu ya haraka nishuhulike.. Tumieni tafsida jaman sasa umeshanisababishia kutenda dhambi
 
Back
Top Bottom