Nampenda mwanaume anayejiongeza

Nampenda mwanaume anayejiongeza

Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Wewe unajiongeza kwake au ndo unataka kuwa kupe
 
Hilo la kuwa MKOBOAJI sio suluhu.Utajikaanga zaidi. Cha kufanya jitathmini wewe kwanza Kwa nini Mwanaume ambaye hajielewi kama huyo amekujia maishani mwako?. Umejiwekajewekaje?
 
Na bado unaishinae wanawake mbadilike unamkombatiea nini kama sio msaada kwako, au kwanini usitumie hizi kero huko whatsap abadilike
 
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Uku NI kujiuza undercover
 
Kuna wenzako wanafanyiwa yote na bado pasua kichwa, anyways mkono ulozoea kupokea kutoa uwa ni ngumu sana. Hayo ni matokeo ya harakati zenu kujifanya mnaweza kila anachofanya mwanaume si haki sawa ndiyo kampeni yenu? vipi uone ajab nawew kumlisha uyo mwanaume ikiwa haki sawa?
 
Back
Top Bottom