Nampenda mwanaume anayejiongeza

Nampenda mwanaume anayejiongeza

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ss mbona tunawafanyia vyote hivyo na hatulalamiki? Na bado tunagongewa lkn tunawasamehe.
Nyiny mkifanya kidogo tu mnaanza kulalamika.
50/50 si ndio mnataka au?
Kweny mapenz ya dhat huwa hatuangalii tunavyotoa au kupokea. Ndio maana huwa mpaka tunawasomesha, tunawapa gari n.k
inaonekana ww gold digger


hapo 50/50 iko wapi au ni100/0? na vyakula unachagua kabisa?[emoji15] [emoji134] [emoji134]
 
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Hahaha hii nimeipenda kwa kweli

UPO NAE KWA SABABU ANA JINSIA YA KIUME [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
hapo 50/50 iko wapi au ni100/0? na vyakula unachagua kabisa?[emoji15] [emoji134] [emoji134]
mbona kila kitu mnapenda kupewa nyinyi tu?
Umesoma passage ya kwanza ya Princess?
Ya kwanza umefurahia kupokea ila ya pili ya kutoa imekuchukiza.
Kuwen na huruma bac, ss mbona huwa tunajinyima mpaka senti ya mwisho lkn nyiny hamkawii kutuambia ''mtasaidiwa''
 
Siyo barabara zote zinauelekeo mmoja, zingine zinakwenda na kurudi.
 
Marufuku mwanaume kuja kunilalia kwangu,na hakuna kulala kwangu. agharamike,alaaaaa!!
 
Back
Top Bottom