RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,495
- 135,474
Bado wale wenzio watatu sijawaona hapa....! Umepika nini nike kula leo? 🙂🙂🙂Ndo wanayoyapenda hayo huli mchicha alieununua unamjua??
Bado wale wenzio watatu sijawaona hapa....! Umepika nini nike kula leo? 🙂🙂🙂Ndo wanayoyapenda hayo huli mchicha alieununua unamjua??
atoto miss chagga Valentina mnaitwaBado wale wenzio watatu sijawaona hapa....! Umepika nini nike kula leo? 🙂🙂🙂
Kuna kuanzia 21, 000Kwani gesi bei gani?mbona unachukulia poa?
hahahaha...pole sanaAisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.
Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:
1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.
2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa
SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0
SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Umetoa hela lakini?Bado wale wenzio watatu sijawaona hapa....! Umepika nini nike kula leo? 🙂🙂🙂
Na nyie mngeishi na nani sasa?nyie wanawake nyie....mlipaswa kuishi sayari ingine
Atume hela ya usafiri
tunakuja wakati mkiwa hedhi,,, then hao tunasepa.....Na nyie mngeishi na nani sasa?
Mmhh! Wa JF? Good luckNampenda niliempata huku JF aisee ananijali kila eneo. Humu humu ndani kuna watu wanathamini sana watu. I love you darling
Huyo usiyemtaka umempata wapi? au ni mkusanyiko wa wale wote muliokwisha pakatana. Naona unaumba ideal man wako.Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.