Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,743
Hahaha kuna mwenzako hapa umemsababishia matatizo tayar... Id zetu wengine si unaona zilivo..Pole love
Hahaha kuna mwenzako hapa umemsababishia matatizo tayar... Id zetu wengine si unaona zilivo..Pole love
Nimemwambia poleeHahaha kuna mwenzako hapa umemsababishia matatizo tayar... Id zetu wengine si unaona zilivo..
Aisee!!!!Ndo wanayoyapenda hayo huli mchicha alieununua unamjua??
Ha ha haWee Dada embu nipe no ya jirani yako nikurushie chochote ukapate japo Kuku umle kama humfahamu. Umekua mhalisia sana.
Aiseee nilipiga mtu kibuti japo alikua anajua kugegedaAisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.
Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:
1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.
2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa
SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0
SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Kumbe bado hujapata mwenza wa maisha,ngoja nijipange au vipi?Lini hyo?
Daah sasa umepoteza nbegu imara ya taifa la kesho,yaani hiyo mbegu ungeiwekea na mbolea ya kisamvu cha kopo.yaani tungepata wanaume kama wa mkoa wa Mara ,(sasa unaingia Mkoa wa Mara).Aiseee nilipiga mtu kibuti japo alikua anajua kugegeda
nyie si mnataka usawa ?? mbona unalialia maana yake umeshindwa kujiendesha bila mwanaumeWANAUME still wanatoa maana wanayajua majukumu yao, no mater how difficult situation is.
Huyu ni wa kugonga tuu.Good luck utampata dume wa ivyo... In a few million years to come
bora upweke kuliko fujo zenuMngekua wapweke sana