Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
Sishangai huku ndo dunia ya tatu ugonjwa unakuwa fashion
Mfano:: ugonjwa wa (obesity) kitambi ni ufahari ukiwa nao Tanzania
 
Huyu magu alegeze kidogo aisee.
Imeanza lazima awe na Degree au zaid, mara awe mrefu, wengine oooh no kibamia, halafu awe na pesa. hahhahahhaa



Kesho kutwa utawasikia mimi nikiwaona wapiga debe nawapenda na zile ndara zao rangi tofauti, shubhaaamiti



You get what you work for not What you wish for
 
1ddcedb580f19f7fdd2e549ac02ab1ba--handsome-black-men-black-man.jpg
13e176ecdcd89d52aaf88315c23112aa.jpg
hongera.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom