Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
naskia jinsi ulivo hata khanga haikuenei, naskia unaonganisha mbili
Hii kweli kabisa
naskia jinsi ulivo hata khanga haikuenei, naskia unaonganisha mbili
ooooh aiseeeeh,,,Hii kweli kabisa
Naona umeamua kumuita shem darling
shoga angu umeadimikaNaona umeamua kumuita shem darling
Utaacha lini uchochezi?
Hahahahaa uchochezi wa hali ya juu huu,.Naona umeamua kumuita shem darling
Utaacha lini uchochezi?
DuhHii kweli kabisa

Hello mumu umemkubali mkaka wa watu au?nataka nile biriani mie
Hi,.biriani njoo ukule tuu home kwetu dia,.Hello mumu umemkubali mkaka wa watu au?nataka nile biriani mie
Khaaahme namuachia Shunie akiamua kuniuza sawa kunipiga mnada sawa kunitoa bure pia sawa..




hata kwa selebonge lipo mumu usiwe mkatili lo mwenzako kaja mazima mazimaHi,.biriani njoo ukule tuu home kwetu dia,.
Acha tuu shogaa mambo mengi sana jamanishoga angu umeadimika
Vipi lakini mywii umeshatoa majibu?Hahahahaa uchochezi wa hali ya juu huu,.
Wifi hapana jamanii,..si unamjua mpenzi wa moyo wangu lakini,.Vipi lakini mywii umeshatoa majibu?
Au ndio mambo ya pm moja kwa moja

Shem bebe Miller atapata shida sana, sasa mbona huweki wazi kama umekubali au umekataa?Wifi hapana jamanii,..si unamjua mpenzi wa moyo wangu lakini,.![]()


Sijakubali wifi,. Am already occupiedShem bebe Miller atapata shida sana, sasa mbona huweki wazi kama umekubali au umekataa?
Au ndio wajishebedua shebedua kwanza?![]()

and you know'dat wiwo...Kama Diamond vile..Nenda kamwambie...
Am booked jomoniiihata kwa selebonge lipo mumu usiwe mkatili lo mwenzako kaja mazima mazima


nn weweOh my Gawd!!!....![]()