mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Shunie utan'dondoshea tecno yangu ujuee
![]()
Ndiwooooojamaa hadi kutoa uzi, huenda mumu kifaa flan matata sana,
Unanswered.![]()
![]()
karoho kanadunda kwa kasi kanataka kujua ni jibu gani limetoka

Mumu anaonekana ni kisu cha hatari jamaa kachizika kabisa hadi kaanzisha uzijamaa hadi kutoa uzi, huenda mumu kifaa flan matata sana,
WoooyyyooooooIkidondoka shemeji mwandika thread atakununulia iPhone7






tatu mzuka jamaa kala sio kaweka uzi kamnyanyua na mumuMm ndio namjibia mumu ameshampata kaka
yaliyo yamo??? inama inama,, kwangwaruNdiwooooo

Mumu anaonekana ni kisu cha hatari jamaa kachizika kabisa hadi kaanzisha uzi
Atakuwa bado anafikiria kama kawaida yenu mnaombaga mda mfikirie kwanza sijui mnakuwa mnafikiriaga vitu ganiHahahhah asimfanyie hivyo kijana wa watu
We ushamuona live?Ndio kisu kisu
Hahahatatu mzuka jamaa kala sio kaweka uzi kamnyanyua na mumu
We ushamuona live?
huenda anafanana na OMOTOLAMumu anaonekana ni kisu cha hatari jamaa kachizika kabisa hadi kaanzisha uzi
Ataleta majibu tu subirini kidogo, saivi anaomba ufunuo wa mwongozo kutoka Roho MtakatifuHahahhah asimfanyie hivyo kijana wa watu