Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Na we kaka umeaminikumbe ni dumee![]()
MxiieeeewwDada kapata mume dada kapata mume hatimaye sasa sitaki unililie



Na we unampenda nani eti
mi bado moyo unachanganua mambo ukikamilisha nitaweka wazi hapahapaMbona umefurahi hivyo Shunie
Bihevaristi si kasema mm kidume cha mbeguKaka ebu niambie unacheka nn na mm nicheke



Shemeji mumu umempataGuys why naonekana wa ajabu for some people who thinks they`re smarter,huu sio upuuzi,this shit is real,and here ain`t no multi ID`s,simjui huyu mwanamke,but i truly got feelings for her,you people understand an respect my feelings....nipeni support nimpate,acheni figisu na wivu wa kike guys,is it not good to love someone thats why you hate?Mumu
nampenda kweli kwa taarifa yenu,hay tuendelee na maoni sasa,hasa maoni chanya including modern tactics zitakazonifanya niung`oe huu mbuyu!
Mxiieeeeww![]()
![]()
![]()
mi bado moyo unachanganua mambo ukikamilisha nitaweka wazi hapahapa
Unavyosubiria jibu kama tunavyomsubiria YesuMbona umefurahi hivyo Shunie
Bihevaristi si kasema mm kidume cha mbegu![]()
Bado Roho hajatoa majibu,.sisi watumishi hatujibu bila mwongozoNi nini jamani

Eee shogaangu tuliyolewa mpaka tukaitana mabebezzHahaha kakumbuka ile siku


Unavyosubiria jibu kama tunavyomsubiria Yesu
eeh alafu mpaka saivi hajatoa jibuRoho mtakatifu akakusimamie na kukongoza katika hili na jengineZa leo nzuri kabisaa mtumishi,tunazidi kuuona utukufu wa kiungu katikati ya maisha yetu....nimelikabidhi mikononi mwa aliye juu jambo hili..
Utashangaa moyo unakuangukia weweWoyooooooo
Eimeen...praise the Lord God,.Roho mtakatifu akakusimamie na kukongoza katika hili na jengine