T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,937
- 30,099
Dah hako ka mdada kaliko vaa nguo ya rangi ya njano uwiiiiiiiii kamejaliwa ukuu wa wilaya.HONGERA SANA MKUU NA NINA ZAWADI YAKO SIJUI NITAKUPATIA VIPI.
Hako kabinti kenye gauni la njano mambo yake ya nyuma si haba yakheee!!!
Hako kabinti kenye gauni la njano mambo yake ya nyuma si haba yakheee!!!
Unatishaaaaaaaaaa
Wwngi hawajaona hicho kijnguuu
Sheikh huyo bi harusi una kazi sana kumuweka ktk mstari.yeye kifua kichwa wazi,wasaidizi wake migongo nje nje tena kama ni dar sijuiInshallah karibuni sasa nitapata MKE wa maisha yangu jana tumekamilisha taratibu za SEND OFF na sasa tunaelekea kwenye harusi. TAKBIIIIR.
Inshallah karibuni sasa nitapata MKE wa maisha yangu jana tumekamilisha taratibu za SEND OFF na sasa tunaelekea kwenye harusi. TAKBIIIIR.