Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

Wanawake wasaliti ukiangalia tu unawaona wala huhitaji degree ya rocket science.
 
Mzuie kujichubua shemu
basi.Na wewe nawe kama limbukeni utamuanikaje mkeo kwenye mitandao ya
kijamii? Inaelekea una hali ya ki TOTO bado hukutosha kuoa.Nasema hivyo
kwa sababu anaweza akapatikana mtu ambae alishawahi kumpiga Pu.mbu
akamtaja na jina na mahali anapokaa ukasitisha harakati za ndoa.

wala si mkewe katuwekea pic ya kichekesho tushangae make up lo! uzuri unasakwa. hawezi mweka mkwewe

ili ni somo kwa wadada wote iweje utafte mpambe anaekuzidi uzuri?????
 
Vipi kuhusu katiba pedekezwa unaiafiki? (50/50)
 
Mkuu si unajua tena ukiwa kidume lazima uwe na macho kama kurunzi...

Wakati mwenzetu anamsifia mamsapu wake siye wengine twatazama ambavyo havijatwaliwa bado...

Kweli kuna wengine tunatazama laki
ni hatuoni..mkuu mi nimeangalia hiyo pic ila sikuona hizo neema za allah kwa huyo dada...comment yako imenifanya nirudie kutazama tena..kana mpododo mzuri
 
Mzuie kujichubua shemu basi.Na wewe nawe kama limbukeni utamuanikaje mkeo kwenye mitandao ya kijamii? Inaelekea una hali ya ki TOTO bado hukutosha kuoa.Nasema hivyo kwa sababu anaweza akapatikana mtu ambae alishawahi kumpiga Pu.mbu akamtaja na jina na mahali anapokaa ukasitisha harakati za ndoa.

Ni kweli na kuna mtu keshasema hapo juu kwamba ana kajua jua hako kabinti..ila ametumia hekima! hakutaka kwenda mbali zaidi.
 
Hicho kichuguu cha huyo mwenye njano kinahusika sana. Is there a way nikaforwardiwa hata macontact aisee?
 
Uislam hauna kitu kinaitwa send off. Huo ni utaratibu wa ndoa za kikristo. Vijana wenzangu pesa zenu au maisha bora yenu hayawezi badirisha taratibu sahihi za dini. Kama kweli hii ni ndoa ya kiislam na mmeanza na kumkosea Allah sijui huko mnakoelekea Allah atupe ufaham wa dini,mapenzi ya dini,na kuitekeleza dini,pia Allah atuepushe kufanya vitu vya kutaka sifa kwa watu sifa ambayo itapelekea kumkera.
Malezi mabovu huanza kwa wazazi.
 
Hongera sana mkuu,lakini najua,huyo wa kwako umeridhika nae na hao wengine tigawie na ss,huyo mwenye rangi ya orange,amesimama kulia mwanzoni mwa meza!!!!
 
wenye wivu wajinyonge. twala zetu raha za chumbani bila tabu. kelele zenu za bure
 
Back
Top Bottom