Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Haaaaa jaman Jf.... raha tupu muda mwingine
Teh Teh ...mi ndio maana katu sitokuja kuiacha jf..kifo kitanitenganisha nayo...
Haaaaa jaman Jf.... raha tupu muda mwingine
Aliempaka makeup ana wivu jamanii Evelyn Salt, BADILI TABIA
Aliempaka makeup ana wivu jamanii Evelyn Salt, BADILI TABIA
Alimshamiria mwenzie asipendeze...
Maana make up kama anatolewa unyago....
Halafu nyusi kamtengeneza vibaya
HiZO kope bandia kazitundika mpaka Inajulikana kama ni bandia
Inshallah karibuni sasa nitapata MKE wa maisha yangu jana tumekamilisha taratibu za SEND OFF na sasa tunaelekea kwenye harusi. TAKBIIIIR.
Teh Teh ...mi ndio maana katu sitokuja kuiacha jf..kifo kitanitenganisha nayo...
Hako kabinti kenye gauni la njano mambo yake ya nyuma si haba yakheee!!!
Kweli kuna wengine tunatazama lakini hatuoni..mkuu mi nimeangalia hiyo pic ila sikuona hizo neema za allah kwa huyo dada...comment yako imenifanya nirudie kutazama tena..kana mpododo mzuri
Jesty.... Siku ya shughuli huwezi kuControl kila kitu!! mengine unaacha yanajiset yenyewe, Yako ni kufurahia THE DAY !!ningekuwa mimi ndio bibi harusi,ningemkataza huyo msimamizi wangu kuvaa hivyo, marufuku kuvaa nguo inayoonyesha mgongo hivyo,afu bibi unapiga magoti kupokea keki wakati msimamizi wako anakudhalilisha kimavazi......mnh,:tinfoil3::tinfoil3::tinfoil3::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1: