Nampenda Miss Chaga

Nampenda Miss Chaga

mmmh at least now we can discuss per year you made 156,000,000 ..... hiyo ni halali bado ujaiba iba unaweza fika milioni miatatu... tunaweza ifanyia kazi tukapata milioni 30 na zaidi kwa mwaka tukaingiza faida ya milion 360,000,000...... je unahela ipo kwenye mzunguko mtaji wa kiasi gani... hope hyo milion 13 ni cash,...

mtaji sio mkubwa ni milioni 117 tu na hizo 13 ni cash mpenzi
 
Acha funyo mpenzi Keane uliambiwa mi sipendwi tena

Wadada wooote ambao wapo "sitiriti" hajawaona
Anaofanya NAo kazi/shule hajawaona
Kwenye semina na mikutano hajawaona ila mke wangu ndo kamuona?kudadadeki namtoa/NAMMWAGA mtu "VIMA"
 
Wadada wooote ambao wapo "sitiriti" hajawaona
Anaofanya NAo kazi/shule hajawaona
Kwenye semina na mikutano hajawaona ila mke wangu ndo kamuona?kudadadeki namtoa/NAMMWAGA mtu "VIMA"

Relax baby
 
Relax baby

Nirelax wakam MTU anaonesha umahiri na kipaji cha kupenda wake za watu?
Akided au nikimkata hcho kinachomfanya aitwe Wa kiume sawa otherwise sahau
Na mm namunesha umahiri Wang Wa kutahiri
 
Back
Top Bottom