Nampenda Miss Chaga

Nampenda Miss Chaga

miss chagga umeishamwambia kama uko single and available,or married or single and searching??
Muweke wazi mapema

Huyu anaonekana yuko serious sio kama yule mwingine!Maana alishafungua uzi mbili tofauti hapa akitafuta mke wa kuoa na inavyoonekana ni hajapata!Hahahaaa changamkia fursa hiyo miss chagga,kijana mwenyewe msomi kutoka chuo kikuu na pia mjasiriamali!

Mwambie dad wako utafiti
 
Last edited by a moderator:

je hana hela mapenzi na njaa hapa amuna
 
sasa milioni 13 kwa mwezi utasema ni hela? au labda wewe hela unamaanisha sh ngapi kwa muda gani?

mmmh at least now we can discuss per year you made 156,000,000 ..... hiyo ni halali bado ujaiba iba unaweza fika milioni miatatu... tunaweza ifanyia kazi tukapata milioni 30 na zaidi kwa mwaka tukaingiza faida ya milion 360,000,000...... je unahela ipo kwenye mzunguko mtaji wa kiasi gani... hope hyo milion 13 ni cash,...
 
Naaam. Juzi, jana na Leo kaka.

Makubwa haya ndugu yangu. Ng'ombe tupa kule... Vi-laki laki na vi-milioni uchwara vya yule mzee wa miamba alivyokua anahongea navyo chali. Kweli Pochi ndo handsome Mr Rocky mbebaji tu. Kumbe malipo hapa hapa duniani eeh? ila hii imekuwa mno fasta.

Hahahahahahaaaa Tized uko Wapi ndugu yng? OLESAIDIMU maneno Yako yanatimia Mkuu!

HANDSOME POCHI YAKO MWENYEWE MBEBAJI!
 
Last edited by a moderator:
Naaam. Juzi, jana na Leo kaka.

Makubwa haya ndugu yangu. Ng'ombe tupa kule... Vi-laki laki na vi-milioni uchwara vya yule mzee wa miamba alivyokua anahongea navyo chali. Kweli Pochi ndo handsome Mr Rocky mbebaji tu. Kumbe malipo hapa hapa duniani eeh? ila hii imekuwa mno fasta.

Shikamoo kaka mama amesema ukapasue kuni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom