Nampenda Miss Chaga

Nampenda Miss Chaga

wana-JF habari,
Kwa ufupi kila nisomapo post za miss chaga napatwa na msisimko wa ajabu na kutokea kumpenda bila sababu za msingi. Ila nikiwa nae nitapata maendeleo kwa kasi maana nahisi katumia Id ya miss chaga kuonyesha pesa kwake ndo mpango mzima. Miss Chaga plz nifanye niwe mfungwa wa maisha kwenye gereza la moyo wako!

Na hii ndio signecha yake "life is great.. am so lovely......"
 
hahahahahahaha eli mwenye soko miss chagga lol

we ndio unalosoko embu ona
avatar180403_5.gif
 
Back
Top Bottom