miss chagga ni binti yangu wa kuzaliwa na kaka yangu,
Ni katoto sana ila ni mchapa kazi sana.
miss chagga ni binti yangu wa kuzaliwa na kaka yangu,
Ni katoto sana ila ni mchapa kazi sana.
Yan wawe wapenzi wako wote wawili???? Huna heshima mkuu
anti nilisema nisongee mpaka we uje ..
ananitaka mimi na shangazi yangu ,i sipo
Anza tu mie ni mmaliziaji tu,
Msemaji ni mwolewa.
Umekuwa anti yangu, naona una hekima ya kutosha,
Hawajambo huko mndenyi?
Hahahahahaha...ama kweli!!!
Mamndenyi anti jamani huyu kaoza kule mndenyi mashamba yamejaaa tutazika wapi?Dah tatizo binti yako tangu aje mjini imekuwa shida, amekuwa wa gharama sana! Hebu Mamndenyi nisaidie kumwambia miss chagga kuwa nimeoza kwake!
kumbe nmewachanganya ndugu naombeni msamaha alafu pia ckujua kumbe ni watu wazima ngoja ntengue kauli
si msingizii kasema mwenyewe
Nimecheka coz nimeimagine mfano ingetokea hivyo thn siku anawakutanisha pamoja mahali.......wonders shall never die......!!!!
Umeona sasa, mi nimemwambia Mamndenyi kuwa mwanae amebadilika siku hizi tangu atoke Mndenyi.
Dah tatizo binti yako tangu aje mjini imekuwa shida, amekuwa wa gharama sana! Hebu Mamndenyi nisaidie kumwambia miss chagga kuwa nimeoza kwake!