Nampenda lakini naogopa kibuti

Sijambo dear sema. Ha ha ha kwani ni mimi ndo unamaanisha mbona sikuelewi???

siku nyingine DA, jaribu kueleza bayana haya mambo ili watu kama akina Jasiri, waelewe kuwa wewe ni nani!wataendelea kukusumbua hadi lini mama?
 
siku nyingine DA, jaribu kueleza bayana haya mambo ili watu kama akina Jasiri, waelewe kuwa wewe ni nani!wataendelea kukusumbua hadi lini mama?

Wanajua sana ila jeuri yao tu hawa kwani hujui my love???
 
Dena nimeipata PM yako ngoja nikae kitako niisome kwa utulivu na makini ili niweze kudadavua kila herufi ya kila neno.

Bacha tulia kwani kilio cha samaki hakina machozi atii
 
mi natangulia home, utanieleza kisa cha haya yote!

Kisa cha haya yote ni kuwa jasiri kanipenda basi!!! Kwani kuna ubaya gani bwana!!! Nisubiri hapo njia panda nimechukua tax gari yangu imepata puncher na sina spare tire .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom