Nampenda lakini naogopa kibuti

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,584
Wadau kuna dada humu mie nimetokea kumpenda sana. Si upendo wa agape bali ni ule wa kimapenzi kati ya mwanamme na mwanammke.

Kulitaja jina lake naogopa lakini linaanzia na D. Nimechanganyikiwa mdau mwenzenu. Naogopa kupigwa kibuti. Nifanyeje mwenzenu?
 
umependa avatar yake au comment zake...... Cause as you know avatar looks might be deceiving
 
Dena binti Amsi. Hujambo kisura wangu?

mmmmmmh,hebu Jasiri acha hayo mambo basi!tafadhali bana, ujasiri wako usiwe kwa waliomilikiwa!
siku zote tunaokamua maziwa huwa tupo kimya, ingawa mchungaji ni mwingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom