Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

We mpange, weka mazingira rafiki, utakapoanza mipangi tu atajua kuwa anatakiwa kutongozwa so akikubali miadi basi ujue kuna kauwezekano kikubwa pita mule mule.
kwa mdada kama yule/kwa wadada wa siku hizi kumkuta hana mtu sizani kama inawezekana. na kuhusu kumuelezae hisia hilo ndio hitaji langu kuu, siwezi kuchanganya kazi na mambo binafsi maana ingeshani- cost kitambo.. kuhusu mazingira hapo pagumu sana maana nafungua kazi zangu asubuhi na ninafunga usiku saa6.. siku nayoweza kuwa na mda mpana ni j'mosi ila siku hiyo huitumia kwa ajiri ya ibada pekee..!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom