Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

ukikumbuka jinsi unavyowachanganya/ulivyowahi kuwachanganya enzi hizo.. ila ukiwa na kila mmoja full kumsifia kuwa yupo peke yake.. Mapenzi buana hatari mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati huwa nikikaa pekee yangu natafakari weee, nasema hivi ikitokea siku Mungu akatupa uwezo wa kuona yanayoendelea vichwani mwa mtu tutabaki salama kweli??Unamdanganya mtu na unajua kabisaaa unamdanganya na maskini yake anaamini,yaani basi, babe nakupenda pekee yako unajua jana usiku niliwahi kulala kumbe ulikumbatiwa/umekumbatia mwingine
 
ulazima wa kujiweka level flan ni unahitajika, hawezi kuingia vibanda umiza yule, yaani ikitokea nikamtoa nikuandaa hela ya kwenda nae hotel na si guest house ama grocery!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa u class sikukatalii kwa kuwa haya mambo hayana formula maalum, kila mtu anafanikiwa kwa njia zake, enzi zangumie nishaangusha mibuyu kede kede kwa kiwembe tuu..

Hapo kwenye class kwan mkuu class yako ni ya chini sana kiasi ukiwa hapo ngumu kumdedisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za njaa nmejisahau
Sio mbaya sana, umejisau ila ni faida kwetu pia,,, tushajua kumbe hakuna cha kuuliza swali hahaha hahahahha,,,

Jamaa yetu najua tayari ameshajiandaa kwa hilo,,, anoe kisu tu kiwe na makali,,

Kama namuona yuko benchi akisubiri jamaa wa mrembo afanye kosa ili jamaa alitumie,,,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom