Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

ni sawa kabisa, tena inabidi uwe na kitu kigeni kwake ambacho kitamsukuma aachane na alie nae ama yy kuwa na cye wote wawili japo baadae ndipo atafanya uchaguzi sahihi ni yupi atamfaa zaidi..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu sema kwa hapo anzisha kwanza urafiki alafu usome upepo kwanza mana si unajua wanawake wa mjini hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha

Baada ya siku chache biashara itakua imekufa,mzigo utakua ushakula na wewe utakua shujaa wetu
kama ningekuwa fala hivyo tangu hapo kabla basi hata asingenijua maana biashara yangu ndio imenifanya tujuane.. kama kupitia biashara yangu nimemjua yy naamini kupitia hii hii biashara yangu kuna wengine wengi ntanuana nao, japo sitakuwa na mahusiano nao.. Kazi kwanza mapenzi baadae!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kupenda utelezi/kitonga...yaani umeona demu ana mkwanja unataka akulee? ...utaharibu...nielekeze ilipo biashara yako ili nami niwe mteja wako halafu uniunganishe naye mkuu....
Angalizo : inawezekana huyo dada anacheza na hela hiyohiyo anaweka na kutoa...
 
Natania tu Mkuu!

Kweli kazi kwanza mapenzi baadae,endelea kupambana Mkuu
 
acha kupenda utelezi/kitonga...yaani umeona demu ana mkwanja unataka akulee? ...utaharibu...nielekeze ilipo biashara yako ili nami niwe mteja wako halafu uniunganishe naye mkuu....
Angalizo : inawezekana huyo dada anacheza na hela hiyohiyo anaweka na kutoa...
kila binadam na mawazo yake, yaani ktk watu wote walio comment hapa yaani ww ni tofauti na wengine kabisa, ila asante kwa ushauri wako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia km ana mtu ama lah!! Pili unapomueleza mtanabaishe mapema kuwa unachomueleza ni hisia tuu, asichanganye na mambo binafsi na ww upo tayar kwa jambo lolote sababu kupenda na kutokupenda/kuchukia zote ni hisia na mjuze unaheshimu hisia za mtu then ongeza chumv kidogo halaf mwaga sera zako kikamilifu kisha msikilize yeye. Weka mazingira rafiki kabla na wakati unamtongoza pia. Hapo hata akikukataa kuna asilimia kibwa urafiki ukaendelea biashara ikaendelea na km hutoonesha utofaut km kukasirika au kumchukia ipo siku huko mbeleni kuna uwezekano atakutunuku.

Ila fanya haya km unampenda kweli na sio kutamani kumtafuna tuu, All the best mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza kwa umri wangu wa miaka 40 niliyoishi hapa duniani ni kwamba ukimpenda mtu sana huwezi kumpata na theory yangu hii inasapotiwa asilimia 100 na ukweli kwamba zaidi ya asilimia 90 ya wanandoa ni watu waliooana bahati mbaya yaani hawakuwa ni watu wanaopendana!
 
Fuatilia km ana mtu ama lah!! Pili unapomueleza mtanabaishe mapema kuwa unachomueleza ni hisia tuu, asichanganye na mambo binafsi na ww upo tayar kwa jambo lolote sababu kupenda na kutokupenda/kuchukia zote ni hisia na mjuze unaheshimu hisia za mtu then ongeza chumv kidogo halaf mwaga sera zako kikamilifu kisha msikilize yeye. Weka mazingira rafiki kabla na wakati unamtongoza pia. Hapo hata akikukataa kuna asilimia kibwa urafiki ukaendelea biashara ikaendelea na km hutoonesha utofaut km kukasirika au kumchukia ipo siku huko mbeleni kuna uwezekano atakutunuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mdada kama yule/kwa wadada wa siku hizi kumkuta hana mtu sizani kama inawezekana. na kuhusu kumuelezae hisia hilo ndio hitaji langu kuu, siwezi kuchanganya kazi na mambo binafsi maana ingeshani- cost kitambo.. kuhusu mazingira hapo pagumu sana maana nafungua kazi zangu asubuhi na ninafunga usiku saa6.. siku nayoweza kuwa na mda mpana ni j'mosi ila siku hiyo huitumia kwa ajiri ya ibada pekee..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza kwa umri wangu wa miaka 40 niliyoishi hapa duniani ni kwamba ukimpenda mtu huwezi kumpata na theory yangu hii inasapotiwa asilimia 100 na ukweli kwamba zaidi ya asilimia 90 ya wanandoa ni watu waliooana bahati mbaya yaani hawakuwa ni watu wanaopendana!
hii ni sahihi kabisa maana mtu unaempenda huwa kuna wasi wasi kuwa nikimweleza hisia zangu huenda asinielewe ila kwa usie mpenda kivile utajiachia nae atakuelewa mwisho wa siku unamgegeda hadi mimba, inabid umuoe tu maana hofu ya kuzalisha kila mtoto mama yake itaanza kukusuta!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom