Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Mkuu una hasira za karibu eheee,pole mwaya,ww tongoza tu, piga mavocal kama yoteee mtoto mzuri na kashape kake kama Tanasha atakubali tu, au kama vp akija kutoa mwongezee kama ka M kamoja hivi
nitajitahidi nitauzingatia ushauri wala usijari dada angu me nanajitoaga sana kama nikipenda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ataondoka mkuu ukiend kwa papara. Ili umpate andaa mazingira yakayowafanya wote kujikuta mnakulana kiurahic bila wenyew kujijua.
 
Back
Top Bottom