Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Fanya jambo moja je yeye ni mtu wawatu?
Kwa maana kama sio mtu wawatu? basi kwa maana sio kila mtu anataka kuzoewa na watu wasio wajua hadi wale watu wakaribu naye tu wanaomjua.
Ila chagua unaweza mwambia akaacha kuja pale na unaweza win kumbe naye alikuwa anakuja kisa wewe so amua kujitosa au dhamini biashara yako.
Ila kama ni upendo wa dhati aisee utakutesa na tamaa pia itakuponza .
Hakuna kitu wanawake hua wanapenda kama kupewa vizawadi vidogo vidogo au nyongeza kila wanapofanya manunuzi.
Kama anataka kujenga nae mazoea ajitahidi kila akija kufanya miamala awe anampa hata pipi baada siku 3 au 4 anambalishia zawadi anampa chocolate baada ya muda tena akizoea anampa mwisho wa siku huyo dada atanyegeka mwenyewe na namba atatoa bila hata kuombwa, jambo muhimu jamaa asiwe na papara tu.

Maendeleo hayana chama
 
hii ndio njia bora kabisa ya kumnasa ila nikijitosa moja kwa moja, hapo ndio litakuja suala la kukoswa yote kwa pa1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujitosa moja kwa moja hua ni risk kubwa iwapo yeye kama hana hisia na wewe,
Ila kwa njia hio ukiitumia taratibu ataanza kupata hisia za mapenzi juu yako,
Dada zetu hawa ukiwajulia vizuri hua hawana shida kabisaaaa muhimu ni kuwaonyesha kua unawajali, unawaheshimu na pia huna papara (tamaa ya ngono)

Maendeleo hayana chama
 
Mkuu akija kutuma labda kiasi fulani cha fedha iwe milioni 2, 3.. usipokee hela yake,we tuma akikupa kataa,nakuhakikishia jioni tu unabeba mbebee!
 
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpige saundi uyoo mzee mana ukijipanga nitaenda kesho kumtongoza mwenzio mda huo ndo keshaenda so chukua maamuzi fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujitosa moja kwa moja hua ni risk kubwa iwapo yeye kama hana hisia na wewe,
Ila kwa njia hio ukiitumia taratibu ataanza kupata hisia za mapenzi juu yako,
Dada zetu hawa ukiwajulia vizuri hua hawana shida kabisaaaa muhimu ni kuwaonyesha kua unawajali, unawaheshimu na pia huna papara (tamaa ya ngono)

Maendeleo hayana chama
kumbe wanaume wengi wanao kataliwa ni wale wenye pupa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kingine nahofu ya kumwomba no, nahisi kwamba ataaniuliza nataka ya nini..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya simu si huwa anakuletea umuwekee hela mkuu ama. we msome jenga urafiki kwanza, mchunguze kama ana mtu. then kama hana mtongoze. wanawake wengi tu huwa wanapenda wanaogopa kusema huenda na yeye anakupenda pia. au kama ana mtu atakwambia ukweli kuwa anaye na atabaki kuwa rafiki na mteja wako. ondoa shaka we ni mwanaume
 
Naomba namba yake nikulegezee
Mimi pia raia mkamavu kuna kuna pot mmoja afisa, jirani yangu nataka nimng'oe mtoto mrembo haswa haswa tatizo anajikuta bandit bonge la kauzu mda wote yupo serious!!! nipe Medan za kivita za kuling'oa toto hili la mabeho aise mkuu.
 
Mpige saundi uyoo mzee mana ukijipanga nitaenda kesho kumtongoza mwenzio mda huo ndo keshaenda so chukua maamuzi fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
kutongoza si kazi kama ilivyo kupima HIV, tatizo ni majibu yatakayo toka kwa mlengwa hapo ndio utalionja joto la jiwe kumuona mtoto mzuri unamkoswa na miamala nayo unaikoswa, aseeee sitaki hili lijitokeze!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
Chagua moja uyumbe kibiashara unufaike na penzi maridhawa,, ama uendelee kula kwa macho biashara yako ikue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba ya simu si huwa anakuletea umuwekee hela mkuu ama. we msome jenga urafiki kwanza, mchunguze kama ana mtu. then kama hana mtongoze. wanawake wengi tu huwa wanapenda wanaogopa kusema huenda na yeye anakupenda pia. au kama ana mtu atakwambia ukweli kuwa anaye na atabaki kuwa rafiki na mteja wako. ondoa shaka we ni mwanaume
najiona kama nampata leo leo hii, kwa jinsi mnavyonimezesha nondo za maana hapa jukwani aseee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom