MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,686
- 31,470
Mkuu wadada wa mjini watakufilisi, ukitia neno hakatai, kitakachofuata utapigwa invoice ya Milion 10, ukishangaa shangaa na biashara utafunga
ishanitokea, nina hofu maybe yanaweza kijirudia tena!!Polee Mkuu Cha Kufanya Jaribu Kuamua Kiume Mueleze Hisia Zako Uenda Atakuelewa Na Pia Kuhusu Sijui Kuogopa Kumpoteza Mteja Hapana Ni Hofu Yako Tu,
mrejesho wala msijari wana jukwaa.. Mwezi mmoja naamini utakuwa na majibu ya kutosha kabisa!!Usisite kuleta mrejesho
kesho naanza process mara moja, liwalo na liwe kama ni gundu la lavax2 naamini mizimu itanifkilia..!!We vipiii kujielewa ndio nn ebu jiamini kama mwanaume
hivi kuchunguza tabia ya mtu si ni mtihani sana huo!!?Ushauri wangu.
Umjue first yeye ninani.
Pili ni mtu waaina gani
Tatu je ni anapenda watu waaina gani.
Je yeye ni mweelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
haya poa Ikhojo. Ila itanikost kusoma tabia ya mtu!!Kwanza jitathimini ka nawe una sifa zinazo jitosheleza kwake na kama huna usijaribu utadhalilika,pia kuwa na muda wa kumstudy ujue anapenda nini na hapendi nini usikurupuke hallooo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya jambo moja je yeye ni mtu wawatu?
We utaharibu. Muombe kama atakua na nafasi mtoke muende sehemu iliyotulia. Kama atakubali ujue ushavuka hatua ya kwanza. Akikataa usisikitike huyo ni mwanamke anayejitambua hawezi kuwa soft kirahisi hivyo. Anza kutengeneza ukaribu upya huku hakikisha urafiki wenu hauingiliani na biashara yako. Then kwa heahima na taadhima omba tena mtoke baada ya hapo naye atakua ametambua unachotaka kwake sasa itabaki kwake kuamua. Kila la kheri mkuu..nitalia mno, ngoja kesho akija nijifanye kama najikuna kumuongelesha kuhusu haya mambozi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo miamala huwa haachi namba?kingine nahofu ya kumwomba no, nahisi kwamba ataaniuliza nataka ya nini..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanifelisha bronenda ukatahiriwe kwanza sababu inaonekana hujavunja ungo.
ntajitahidi japo ni hatari, yaan yupo kaksi hiyoo daaah!!Kama unampenda wazungu wanasema "never hesitate" unakuta ndo bahat yako hioo mzee shtuka ndotoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
nitauma kamba, nikiwa natumbuliwa hili jipu ili maumivu yakinipata nitayamalizia kwa kuing'ata kamba kisawa sawa, ntafanya hivyo.Fanya jambo moja je yeye ni mtu wawatu?
Kwa maana kama sio mtu wawatu? basi kwa maana sio kila mtu anataka kuzoewa na watu wasio wajua hadi wale watu wakaribu naye tu wanaomjua.
Ila chagua unaweza mwambia akaacha kuja pale na unaweza win kumbe naye alikuwa anakuja kisa wewe so amua kujitosa au dhamini biashara yako.
Ila kama ni upendo wa dhati aisee utakutesa na tamaa pia itakuponza .
Nimekuelewa sana mkuru, hapo imekaa sawa!!We utaharibu. Muombe kama atakua na nafasi mtoke muende sehemu iliyotulia. Kama atakubali ujue ushavuka hatua ya kwanza. Akikataa usisikitike huyo ni mwanamke anayejitambua hawezi kuwa soft kirahisi hivyo. Anza kutengeneza ukaribu upya huku hakikisha urafiki wenu hauingiliani na biashara yako. Then kwa heahima na taadhima omba tena mtoke baada ya hapo naye atakua ametambua unachotaka kwake sasa itabaki kwake kuamua. Kila la kheri mkuu..
Sorry, upo mkoa gani.?
Sent using Jamii Forums mobile app