Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,875
- Thread starter
- #181
kuwa mbahiri kwa toto kama hilo ni sawa na kuwa na maua arafu usiyamwagilie, unategemea nn!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa mbahiri kwa toto kama hilo ni sawa na kuwa na maua arafu usiyamwagilie, unategemea nn!!?
Na si ajabu amesha msevu kwa whatsup anafatilia tu status hahahahah,,Ila kichwani unayo,,,mana kama unampenda kuikariri lazima
haya mambo hatari sana.. hakuna mchawi wa mapenzi kwa kweliKuna wakati huwa nikikaa pekee yangu natafakari weee, nasema hivi ikitokea siku Mungu akatupa uwezo wa kuona yanayoendelea vichwani mwa mtu tutabaki salama kweli??Unamdanganya mtu na unajua kabisaaa unamdanganya na maskini yake anaamini,yaani basi, babe nakupenda pekee yako unajua jana usiku niliwahi kulala kumbe ulikumbatiwa/umekumbatia mwingine
shunie huyo bwana.....Mkuu usiogope we sema nae tu usikute na yeye anakupenda anashindwa kukwambia
Fanya kosa mwenzako atumie fursa hyo, kutoana upwekeSio mbaya sana, umejisau ila ni faida kwetu pia,,, tushajua kumbe hakuna cha kuuliza swali hahaha hahahahha,,,
Jamaa yetu najua tayari ameshajiandaa kwa hilo,,, anoe kisu tu kiwe na makali,,
Kama namuona yuko benchi akisubiri jamaa wa mrembo afanye kosa ili jamaa alitumie,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa hili jibukuwa mbahiri kwa toto kama hilo ni sawa na kuwa na maua arafu usiyamwagilie, unategemea nn!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimependa jibuFanya kosa mwenzako atumie fursa hyo, kutoana upweke
nipo class ya kawaida japo wengine huweza sema nipo juu.. me najiona bado nipo chini maana bado cjatimiza ndoto zangu nyingi za kimaisha!!Kwa u class sikukatalii kwa kuwa haya mambo hayana formula maalum, kila mtu anafanikiwa kwa njia zake, enzi zangumie nishaangusha mibuyu kede kede kwa kiwembe tuu..
Hapo kwenye class kwan mkuu class yako ni ya chini sana kiasi ukiwa hapo ngumu kumdedisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikisha ulete mrejesho, hata ukikataliwa ww lete tunipo class ya kawaida japo wengine huweza sema nipo juu.. me najiona bado nipo chini maana bado cjatimiza ndoto zangu nyingi za kimaisha!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar ndio hyo
hawezi kuwa JF naamini hivyo, kabisa maana nilifanya tathimin kwa kuchukua phone yake siku moja hivi, sikuona file la JF kabisa!!Huyo mrembo kama naye yumo humu jf anaku zoom tu hapa,,, ameshajua mapigo ya kwenda na wewe ni yapi
Sent using Jamii Forums mobile app
No. imo kwenye m-pesa log book wala siwezi kujisumbua kuikariri saizi.Ila kichwani unayo,,,mana kama unampenda kuikariri lazima
Mimi naona kijana we jilipue tu amna namna, kama noma na uwe nomayaani me hua nawatathmini sana lakini hata huwa siwamalizi kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana wapendana ila mwanaume anaogopa kumwambia mimi sijawahi kuogopa kumwambia mwanamke nampendaMkuu usiogope we sema nae tu usikute na yeye anakupenda anashindwa kukwambia
kuna simulizi yangu niliitoa kwenye uzi flan hv(jinsi gani nilivyotoka home na kuanza maisha ya ghetto) tafta utapata dondoo ya maisha yangu japo kwa kifupi..!! me sijawahi kukopa pesa kwa mtu ya mtaji wala kuomba msaada kwa ndugu. kama niliumbwa kwa mfano wa mungu basi kila kitu nitafanya kikubwa yeye ndio atanirehemu.