Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Sio mbaya sana, umejisau ila ni faida kwetu pia,,, tushajua kumbe hakuna cha kuuliza swali hahaha hahahahha,,,

Jamaa yetu najua tayari ameshajiandaa kwa hilo,,, anoe kisu tu kiwe na makali,,

Kama namuona yuko benchi akisubiri jamaa wa mrembo afanye kosa ili jamaa alitumie,,,



Sent using Jamii Forums mobile app
yaani ni hivi akinyanyuka tu huyo alie nae me nakalia bench lazima nilete mrejesho na ikibidi siku moja atakuja humu kuwasabahi wana JF kwa support yenu kama nikifanikiwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipo class ya kawaida japo wengine huweza sema nipo juu.. me najiona bado nipo chini maana bado cjatimiza ndoto zangu nyingi za kimaisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hiyo hiyo inatosha, usifake sanaaaa, kuwa real, kuwa yule bulaya wa kila siku, sababu anakuja kuja mara kwa mara itakuwa kakuona muonekano wako, usmart wako na vingine.. Km hauko smart anza usmart sasa hiv, kikubwa kuwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom