Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Basi hiyo hiyo inatosha, usifake sanaaaa, kuwa real, kuwa yule bulaya wa kila siku, sababu anakuja kuja mara kwa mara itakuwa kakuona muonekano wako, usmart wako na vingine.. Km hauko smart anza usmart sasa hiv, kikubwa kuwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hizi nondo ziko safi sana, nataka nijiweke amazing all the time, beginning to my life style and how am talk with her.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu ambacho siwezagi kivumilia kama hicho. Mi lazima niropoke tu nikiwa nina interest na dem. Sijiulizagi mara mbili mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zama hizi unachanganya kazi na mapenzi, tena umekiri kuwa hakuna biashara kwa sasa, na huyu ni mteja wako mkubwa sana..

Ukija kufilisika usitulaumu mkuu.
 
Back
Top Bottom