nampenda lakini anajifanya hajali

Chama cha wanaume watongozaji tanzania (ccwwt)kina tangaza maandamano yatakayo fanyika kuanzia kidongo chekundu hadi mahakama kuu,siku ya kesho kushinikiza serikali iweke adhabu kali kwa wanawake wanao zungusha wanaume na kuwawekea pozi mar wnaapo tongozwa,tangazo limetolewa na mwenyekiti,usikiapo tangazo hili mjulishe na mwenzio,kutongoza ndio udumedume.
Habari za asubuhi. kuna kaka aliniapproach ukweli sikumfeel kwa muda ule. lakini muda umepita tukiendelea kuwasiliana kwa simu na sasa najiona nimetokea kumpenda kidhati kabisa. nikamueleza how i feel, alichojibu ni kuwa kwa sasa anamtu anatoka nae na ni kweli, ila hana malengo nae yoyote in future. ameniomba nimpe muda aweze kusolve issue na huyo wa sasa. mimi huku ndo nazidi kuumia je nimpe muda kweli ama ndo story tu nichape lapa? ushauri wowote unapokelewa.
 
Chama cha wanaume watongozaji tanzania (ccwwt)kina tangaza maandamano yatakayo fanyika kuanzia kidongo chekundu hadi mahakama kuu,siku ya kesho kushinikiza serikali iweke adhabu kali kwa wanawake wanao zungusha wanaume na kuwawekea pozi mar wnaapo tongozwa,tangazo limetolewa na mwenyekiti,usikiapo tangazo hili mjulishe na mwenzio,kutongoza ndio udumedume.

lol :loco::loco:
 
Amekueleza ukweli sasa kumuamini na kutokumuamini ni wewe na jee wewe hatokufanya kama mwenzio? ukiona mwenzio ananyolewa bila kutiwa maji basi chako kitie kabisa...
 
Ushauri wa kwanza upo kwako, we unaonaje anachokwambia unakiamini au?ukishajibu maswali hayo naamini utapata cha kufanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom