Nampenda Lady Jaydee

Mkuu elekeza kisirious basi!
Kisirious ndo kukoje? Nakwambia nenda nyumban lounge hapo kinondon utampata, we vipi? Kama huujui huu mji weka wazi nikuelekeze. Unabwata nin sijui
 
Kisirious ndo kukoje? Nakwambia nenda nyumban lounge hapo kinondon utampata, we vipi? Kama huujui huu mji weka wazi nikuelekeze. Unabwata nin sijui
Mi mgeni dar mkuu
 
Kuna na haya mabarabara makubwa waliojenga na mabasi nimekuta dar mpya kabisa
Kwa papara uliyonayo utatugongea magari yetu yaendayo haraka , hebu tulia wakuelewesha tutakukosa bure, kisa unatafuta udada wa hiari
 
Kwa papara uliyonayo utatugongea magari yetu yaendayo haraka , hebu tulia wakuelewesha tutakukosa bure, kisa unatafuta udada wa hiari
Mi yananichanganya kinondoni gani pale manyanyaa, studio, kanisa la Pinda , au kwa wapi sasa pale
 
hahahahaaa KLF, HKL, HGL inahusika hapo, waliopita wanafahamu. kitabu kina lugha chafu huthubutu kumtusi mtu shaba halali yako "...you un-circumsized baboon; son of the bitch. you think this bus belongs to your grand father..."
After 4:30
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…