Nampenda Lady Jaydee

Dada wa hiari? Gear namba ngapi hiyo? Ahahahahahaaa
 
Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake!
 
Unataka ukalelewe kama nanilii vile, nan tena?

Angalizo usije kuimbiwa ndi ndi ndi.
 
Hata mwezako alianza hivyo hivyo "da jide"
Badaye akaitumia frusa, c unajua pale gorofan ni wazee wa kujiongeza.
Nitaftieni kwanza mawasiliano yake ntajua mbele ya safari
 
Ila dada yule ana kipaji na sauti ya kuimba ni balaa. Mengine "No Comment"
 
Ila dada yule ana kipaji na sauti ya kuimba ni balaa. Mengine "No Comment"
Ndo ninavyovipendea mkuu, ndo maana nataka undugu naye wa hiari, vipi una mawasiliano yake?
 
binafsi napenda kazi zake, ila sipendi tabia zake. wimbo wake wa kwanza ... nailazimisha furaha ndo huwa unanifanya nikumbuke mengi sana tena sana
 
binafsi napenda kazi zake, ila sipendi tabia zake. wimbo wake wa kwanza ... nailazimisha furaha ndo huwa unanifanya nikumbuke mengi sana tena sana
Unamjua chichi dodo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…