Nampenda huyu

Nampenda huyu

wadai...raha ya jamvi virakaviraka!!! .. Naomba kutangaza kwamba nampenda ashadii,ushauri wadau.. manashindwa fanya uamuzi na msimu baridi unaishaa.ushauri tafadharii.!!!

Nafsi yangu,

Kwanza samahani kwa kutokujibu jumbe zako, ila ulivyotuma si kwamba nilidharau kujibu ila tu nilikuwa sijaziona; hivyo kulikuwa hakuna haja sana ya kuweka na hapa, ingebaki tu iwe siri yetu... 🙂

Hata hivyo hakuna mwanadamu asiyependa kuambiwa anapendwa. Kwa hili naomba nishukuru, and I am so humbled.

Nichukue nafadi hii kukuasa kuwa makini sana kabla hujatumbukia kimapenzi na mtu ambaye umependa kwa imaginations/taswira ulizojenga kwa kudhani pengine yupo hivyo ambavyo unamfikiria. Kama ulivyo ona kwenye thread hii, tayari baba watoto yupo tena kwa mapenzi tele, ningekua sina tungeanza kwa kuwa marafiki kuona tungeelekea wapi... All in all kila la kheri.

Pamoja Saana!
 
ha ha! What a humble response!!
..Kijana atakuwa ameelewa hakika..!
 
ha ha! What a humble response!!
..Kijana atakuwa ameelewa hakika..!

Loh! Hata nami naunga mkono amejibu vizuri sana nafsi yangu kubali matokeo tu,huu si mwisho bali ni mwanzo wa kukupeleka kwenye mwenzi wako wa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom