Nampenda huyu

Nampenda huyu

wadai...raha ya jamvi virakaviraka!!! .. Naomba kutangaza kwamba nampenda ashadii,ushauri wadau.. manashindwa fanya uamuzi na msimu baridi unaishaa.ushauri tafadharii.!!!

Kanuni namba moja ya mapenzi inasema hivi "Ukiona umependwa ujue kuna mtu amechukiwa na vile vile ukiona unachukiwa ujue kuna mtu kapendwa".
 
msione anajifaraguaga humu!
hapo uuuuuwih mumuwaaaaacher!
maskini sijui kaenda kununuwa anjifu duka lipi!
wee nafsi yangu unajitaka hujitaki?
kwanza ashadii umemjulia waaaaaaapi?

mapenzi humea popote ticha mwacheni ajaribu bahati yake kaizer ana makoloni mengi sana hawezi kusimamia yote lol
 
Last edited by a moderator:
nkuletee kiti ukaepo kidogo?
maji ya kunywa kidogo ?
au castle milk stout kidogo?
simaanish una hofu ila hizo huduma zote za kupoza hasira ujue!

Yaan mwalimu anavomjua mwanafunzi wake alivo.....apa.madam nipo naombapo milk stout safeey baridiiii
 
wadai...raha ya jamvi virakaviraka!!! .. Naomba kutangaza kwamba nampenda ashadii,ushauri wadau.. manashindwa fanya uamuzi na msimu baridi unaishaa.ushauri tafadharii.!!!
Ramazani isha isha mbona!!
 
Back
Top Bottom