aafu sijui kwanini nikionaga coment zako mtima wangu unalipuka... paaah!!!
sijui ndio dalili za kukuzimiepo!!!
charminglady mbona wataka nipeperushia ndege weye hujui michepuko hapa mjini ni unkwepable...lolC.C... Ankal Kaizer
Mkuu una mitala?
wa kunyumba uyimwiki?hahahahahahha wallahi nia yenu si nzur hata kidoncho!
kuna hujma!
Njoo kule...
Dude you have steel balls. Do you think I am at your beck and call?
Hhahahaha....steel balls count you know....😛😛
charminglady mbona wataka nipeperushia ndege weye hujui michepuko hapa mjini ni unkwepable...lol
wadai...raha ya jamvi virakaviraka!!! .. Naomba kutangaza kwamba nampenda ashadii,ushauri wadau.. manashindwa fanya uamuzi na msimu baridi unaishaa.ushauri tafadharii.!!!
nitetee kabisa hawa watu wasinigande