Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

kiwatengu big up kwa kuonyesha upendo wa dhati kwa my wife wako
 
Last edited by a moderator:
ilishindikana kabisa mwanaume mgum yule sijapata kuona.....

kumbe hiko ndio kirefu cha @FP mwenzio nilikuwa sijuagi
ha haaaa..... nimeamua kurudia jina la ujana wangu, lol!
huyo mwanaume hujampatia tu my dear..... kama bado wampenda piga yowe, akina Kofi Anan tupo kibao, ataingia kwenye line tu
 
Kupendwa raha kiwatengu.. Kupenda ni kujali na kuthamini.. Hongereni sana.. Hii imetoka mioyoni mwetu mie na Paloma..

kupendwa ndio huku.kupendwa kuheshimiwaaaa
kupendwa ndio huku alokupenda anatulai
sio awe zumbukuku kutwa kiguu na njia!
shansarie hongera kwa kupendwa mama nawe reciprocate hayo malovee...

hubby sosoliso nakupenda mpenzi wangu kwa unanonipenda............rahajeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
asante Paloma nimekupta mi nimeshikamana siwezi achika, ni raha acha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda sana Lady doctor na ahsante sana kwa support yako ninapokuwa katika shughuli zangu za kuijenga nchi kwa kuwavua magamba na kuwavisha magwanda waliopotea!

My love to you will NEVER die!
 
Last edited by a moderator:
Tejaa!!! Missed you. . .Do you know that?
ha haaa..... teja naona umewowa upya, lol!
sasa sijui uteja umehamia huko au?
sikulijua hilo teja, I am humbled!!!!!
hongereni mtaa wa pili, munialike kwenye mnuso
 
Nina mabwana kibao mbona, me nina saccos kama hujui. Ukiniita jina langu ujue utakuwa unalipia......endela kumlamba mwenyekiti miguu si ndo kazi ulochagua hapa nchini CC....hahaha kama Juliana shozza na mwampamba hahahahah

Ha ha ha ha! wewe..huna madhara..ts lyk chilili and not ngungu...
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu sikukimbia mapinduzi wala nini.....
here I am......

kabla sijaendelea salam kwanza
good morning shemeji!!!!!!!

Dah! asubuhi ya leo nilikuwa busy kidogo hadi nkashindwa kujibu hii salamu muhimu.
ts noon now..
good afternun heaven..
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda sana Lady doctor na ahsante sana kwa support yako ninapokuwa katika shughuli zangu za kuijenga nchi kwa kuwavua magamba na kuwavisha magwanda waliopotea!

My love to you will NEVER die!

Vipi mkuu! Dunia ya kupendana hii..
Kuachana sasa iwe mwiko
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni kupendana hivo hivo na mshikamane haswaa mapinduzi yasije geukia upande wenu

Mie na my Erickb52 babo twapendana sana tu na mwendo ni uleule

Nimeona shemeji.. na samahani kipindi kile eeh..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom