Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

naelewa maana yako amu bila pesa smtime mnaweza kugombana ila si twajuana vipato vyetu na matumizi so kila tunalofanya twaliweka mezani hakuna ulalamishi mfuko ukiwa mweume inajulikana ugomvi hakuna mi sio mtu mtu wa kununuliwa chips mayai siku hizi japo nilikula vya watu sana.
sasa hivi ni kujenga na viwanja ndo lugha ya mjini

Kweli mapenzi yamekuchanganya.........mpaka wkanganya majina.
BTW.....
830687_01.jpg
wewe na kiwatengu.
 
Last edited by a moderator:
Kaz imeshaisha cuz shansarie kasha onesha standing yake may b hadith ihamie kwenye fundo la maisha ya ndoa
 
Kaz imeshaisha cuz shansarie kasha onesha standing yake may b hadith ihamie kwenye fundo la maisha ya ndoa

kufundwa nishafundwa nawaitaji hao wanao achika kila siku nniwafunde wanione elimu ni bure nimesema
 
Back
Top Bottom