Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

170613b351769.jpg
am uas 4ever
 
Ngoja nikupigie debe wewe..
Upweke unakutesa..

Nina mabwana kibao mbona, me nina saccos kama hujui. Ukiniita jina langu ujue utakuwa unalipia......endela kumlamba mwenyekiti miguu si ndo kazi ulochagua hapa nchini CC....hahaha kama Juliana shozza na mwampamba hahahahah
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni kupendana hivo hivo na mshikamane haswaa mapinduzi yasije geukia upande wenu

Mie na my Erickb52 babo twapendana sana tu na mwendo ni uleule
 

Attachments

  • download (9).jpg
    download (9).jpg
    6.4 KB · Views: 35
Last edited by a moderator:
ni kweli unachosema namupenda ile mbaya ,ila kipato chake si ishara ya upendo kwangu
shansarie mamito..........
huwezi kunidanganya hata siku moja kuwa kipato eti hakihusiki katika mapenzi.........nani kasema??????
Ili penzi linoge panahitajika Pesa la kuliendesha hilo penzi.
 
Last edited by a moderator:
its time for others to learn from us...

nimeshindwa tu kukopi na kupest majina yao ni mengi mno, labda unisaidie anayetaka elimu jinsi ya kulinda mahusiano anione pm elimu bureeeeeeee
 
kiwatengu sikukimbia mapinduzi wala nini.....
here I am......

kabla sijaendelea salam kwanza
good morning shemeji!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
shansarie mamito..........
huwezi kunidanganya hata siku moja kuwa kipato eti hakihusiki katika mapenzi.........nani kasema??????
Ili penzi linoge panahitajika Pesa la kuliendesha hilo penzi.

naelewa maana yako amu bila pesa smtime mnaweza kugombana ila si twajuana vipato vyetu na matumizi so kila tunalofanya twaliweka mezani hakuna ulalamishi mfuko ukiwa mweume inajulikana ugomvi hakuna mi sio mtu mtu wa kununuliwa chips mayai siku hizi japo nilikula vya watu sana.
sasa hivi ni kujenga na viwanja ndo lugha ya mjini
 
kwani huyu mwenyekiti bado anapinduliwa tu si amesharudi mi kaniahidi atalinda ndoa zetu so kura yangu anayo
 
Back
Top Bottom