Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Babuuuu me cjaongelea uzurii,.afu rekebisha usemi Mimi kiwango afu namvuto vilevile ,sema nn watu kama nyie hatuwezi wa-date kwasababu hamjiamini[emoji12] [emoji12]ukiona hivyo jua ww si mzuri ndo maana hawakufwati
Kabisaaa, and huwezi jua mtu anahitaji nini kwenye mahusiano
Kwahiyo awe na wewe badala ya huyo kiroba cha njugu mawe
Kwani huyo mwanamke ana shida gani?
Mwanamke mzuri sana huyo.
[emoji119] Haa! Hapana, siyo kwa miili hiyo na ingekuwa ni ulemavu haki yenu kupendwa jinsi alivyo ila si kwa mwili huo wa kujitakia.
Mpite hivi[emoji117] na miili yenu hiyo. Mimi tumbo flat na mwembamba nikilalia juu ya kifua si kama nipo juu ya boya la kikosi cha uokoaji baharini. Itakuwa mission impossible.
Kigezo cha huyo dada kupendwa msikitumie kutetea manyama uzembe ya kujitakia.
Naibu wake mama Anna mghirwaNi nani hyo jazzy wakuu?
Mumu! [emoji2]Afu mcheki mwenyewe sasa full sita sita kifuani,kaenda hewani dakika,rangi ndo yenyewe eeh mjengo wa maana.. wengine sasa wanajifanya wachaguzi Mara oooh hivi Mara huyu vile ukiwaangali hata machoni hawajai...ngoja niishie hapa....hihihihiiiii
mama hujui jinsi navo shobokewagsBabuuuu me cjaongelea uzurii,.afu rekebisha usemi Mimi kiwango afu namvuto vilevile ,sema nn watu kama nyie hatuwezi wa-date kwasababu hamjiamini[emoji12] [emoji12]
tatizo lenu hata kula hamjui mle jeMkuu kumbuka ana watoto, miili yetu hubadilika pindi tunapo beba mimba. Na hata baada ya kujifungua hatuna guarantee miili yetu kurudia hali ya kawaida. Sio kama mtu anafurahia kuwa hivyo.
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
Wala sikumaanisha hivyo, nilimaanisha nampenda jinsi anavyomkubali mkewe, na pia kuhusiana na mtazamo wa huyo dada. Kwa jinsi alivyo hakutegemea mume wake angempenda na kuendelea kuwa nae, ukizingatia mume mwenyewe ni very good looking
Amri ku ni upendo na upendo hushinda yote.Mapenzi ya dhati na ya kweli.
Tujifunze kupenda bila ubaguzi wa aina yeyote.