Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,197
Teh tehehh.
Sure. Mnapatana na kumwagana hapa hapa
Ukiletewa kadi ya mchango sijui hizo aibu utaweka wapi he he he!!!!
Kisa kukutana jf ndo tumwagane? mbona hata ndoa za wachungaji zinakufa?

Ndugu Evelyn Salt,
Kadi nitapokea, bila shaka na nitachanga. Ishu ni kwamba sometimes chit chat inakuwa na mapenzi ya plastiki sana (watu wanaishi Ki-Isidingo zaidi) yaani wanapendana kwa keyboards na avatars. Ndio sababu nikagusia na kumwagana.
Sema Basi Kama Umemkubali Au Amekalia Miiba
Unaniweka Mwenzio Hapa!
We EVELYN!!
Unajua Nasubiri Jibu Hapa?
Sema Basi Niondoke Zangu!
Mmmh TUKO WA NGAPI ?
Pfuuuuuuu kuna watu watakuja na nyuzi milioni kukuponda juu ya tamaa zako..
ngoja nikamwangalie kule bondeni nimwambie..
Ndugu Evelyn Salt,
Kadi nitapokea, bila shaka na nitachanga. Ishu ni kwamba sometimes chit chat inakuwa na mapenzi ya plastiki sana (watu wanaishi Ki-Isidingo zaidi) yaani wanapendana kwa keyboards na avatars. Ndio sababu nikagusia na kumwagana.
Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
Mmmh TUKO WA NGAPI ?
he he he anipende mwingine jibu utake wewe! ha ha ha umenichekesha....
endelea kusubiri, To be continued......
We Endelea Kuninyanyasa
Mara Nyingi Nikiwa Nacheki Muv
Basi Nakuwaga Upande Wa Steringi pindi Anapotaka Kuopoa Mtoto mzuri Kama Wewe
SEMA BASI KAMA TAYARI MMEMALIZANA PM
this is MMU buddy..
Sipo bondeni nipo hapa weye!!!!
44.9Mill