Naona unaanika Blanket chini ya mwarobaini...
Chini ya mwarobaini ama chini ya mtopetope? Atafua saaa hivi tena, muache!
Unawapenda na micharuko ngoja aje uone
Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
Kwa kumpenda mtu ni hadi umpate? We si ubaki huko uliko naye abaki aliko na uendelee kumpenda? Au una la zaidi ya kumpenda? Au wewe kumpenda mtu maana yake umpate?Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
Una hatari mwanangu Mbwiga88. Yaani unampenda mtu ambaye hata hujui utampata wapi! Hebu angalia wimbo huu huenda utapata jibu.
Unawapenda na micharuko ngoja aje uone
we nawe nani mcharuko sasa
Evelyn sitaki kuamni kama nawee waweza ingia mitini dear, njoo umpe moja lieleweke c unajua mapenzi kikohozi
sio kila king'aacho ni dhahabu yakheee
![]()
sio kila king'aacho ni dhahabu yakheee
![]()
Usimvunje moyo kijana wa watu!!!!
atanipata aliponiona hapa hapa jf...