Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,651
Last edited by a moderator:
no! Njoo ndani Evelyn Salt anakuita
Una kigugumizi???
ha ha ha mshangae!!!!!
my love tupange dili we utaniambia tu mnaenda guest ipi kama ni kule chit-chat guest house basi nibeep fasta nije tumake money.
Papa kachachamaa vidagaa vyote mbio ha ha ha
umeona ee?! Lawama zangu zimfikie figganigga popote pale alipo JF kwa kuwatisha wagoni wangu pia napenda kutuma lawama zangu kwa mwenyekiti Baba V anaepatikana chit-chat.
Kwani Baba V kafanyaje dia!!!!!
dia Baba V hakutoa sababu za kutofungwa kwa ndoa yetu hapo jana,inawezekana kuna pesa chafu inatembezwa toka kwa Vin Diesel
Evelyn Salt, where ar you????? @Mbiga88 reminded me the sweet old country music from Nashville, sang by Patricia Lynn Yearwood alias Trisha Yearwood, " She is in love with the boy".......and She gonna mary that boy someday.kupenda ni kupendana
Hajasema kama anataka kunioa!!!!!!
He he he mashujaa hawa, watakwepa!!!!!!!!
sio kila king'aacho ni dhahabu yakheee
![]()
dia Baba V hakutoa sababu za kutofungwa kwa ndoa yetu hapo jana,inawezekana kuna pesa chafu inatembezwa toka kwa Vin Diesel
Mbona Hueleweki?
Inaonesha Unamkubali Ila Jibu Hunipi!
Kama Una Mashaka Ya Muonekano Wake ,
Mimi Nikutumie picha wakwanza Atakuwa Kajipatia Mchumba!
we nawe unangoja alianzishe mwenzio we uje uchukue kiulaini , HAKUNAGA
mwenzao alikuwa serious wamemyeyusha na kuchakachua sread yake,,,, jf bana!
we nawe unangoja alianzishe mwenzio we uje uchukue kiulaini , HAKUNAGA
mwenzao alikuwa serious wamemyeyusha na kuchakachua sread yake,,,, jf bana!
umeona eeenh, humu unatakiwa uwe na roho ngumu kutaka kufanikisha yako, wapozeaji wengi kweli