Nampenda Evelyn Salt

Nampenda Evelyn Salt

Sinunuliki mimi mkuu, ukiona hivyo ujue kuna tatizo la kiufundi tu, we gonna fix em man!

ningeshangaa pia ningejua hapa nashindana na fisadi uchumi kubwa nchini.
 
Jamani mbavu zanguuuuuuuuuuuuuuu, pliz cna za spea, hahahahahaha
uuuuuuwii samahani aisee! acha kucheza na mbavu za wenzio, ina maana jamaa alijua nini hicho?
 
mmh im starting to doubt!! au na wewe umefall pale?

inawezekana wale wanaokupinga either wamefall pale,au hawajui maana ya kupenda,hebu ngoja nitoe mfano,

UNASEMA Unapapenda sana say Monaco-France,wewe hujawai kwenda lakini unapenda,u have an imagination,kwamba monaco patakuwa hivi na vile,kutokana ulivyosikia,au kusoma majarida kuhusu huu mji wa Monaco,mimi huwa naendaga kutembea huko.tuelezee kupenda kwa tafsiri ya general,mtu unaweza kupenda usichoona ok,ingawa unakuwa umesikia alivyo,au thread zake,au wewe ulimaanisha mpaka umuone ndo umpende?huo utakuwa ni ukamilisho to ya hatua za kupenda,kuna watu wanafikiri kumpenda mtu mpaka umuone kanisani,kwa wale wakrito,au kwenye majumuiko fulani,fine,bt u need to go deep,utakuwa umemuona tu,zote hizo ni hatua ktk kupenda,litakuja swala la kufikisha upendo wako kwake huyo EVELYNE SALT,labda sijui utamweleza direct?,au utaacha mzoeane ndo umwambie,inategemea na YEYE EVE Atakapo paceive,EVELYNE anaweza kutupa nae mtazamo wake hapa,to me hizi zote ni hatua ktk kupenda so hakuna ubaya,humu kwenye mitandao ni hatua tuu mkuu,mwisho wa siku mtaonana na kufahamiana zaidi.
 
waow! At last someone who knows what is true love has arrived at the board thanx monaco thanx
 
Back
Top Bottom