Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
hata u spare tyre hapati!! Labda awe spanner
Acheni Kumsemea
Inawafaa Hii
Bushoke-Roho Inawauma
hata u spare tyre hapati!! Labda awe spanner
mpe! Mpe vidonge vyake....
Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
Wizara hii sina wivu kwani nimefikia nafasi ya Waziri Mkuuwivu huo
ungefunguka bna kwan kesi
sikutaka mutu ijue feelings zangu !!!
mkuu pole sana! lakini yakikukuta hayo unakaa kimya tu ni upepo utapita, hata mimi yalinikuta kwa[h=1]gfsonwin[/h] nikakaa kimya na sasa yamepita:shut-mouth:[h=1][/h]
mke wa mtu sumu. Slave njoo umuone mchawi anaye taka kukuharibia ndoa. mia
figganigga ngoja tukamate ugoni, tuuage umaskini hivi hivi.
Bora Umekuja Kamanda, maana Mwenzangu Anataka kujenga Kambi Kabisa!
Kumbe wewe ni mpita njia??????
Bora Umekuja Kamanda, maana Mwenzangu Anataka kujenga Kambi Kabisa!
Hapana Mi...mim....mimi..Ni Wa Kudumu
Ila Nashndwa Kumuelewa Mpinzani Wangu!
umejitoa?