Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,006
- 11,309
Ni vyema huo wimbo ungemfundisha mleta uzi ili bibie Eve atakapoibukia hapa amwimbi ili kumshawishi kirahisi...
Umesahau Eve moyo wake hupondeka akiona unamiliki maburungutu kama ya yule waziri wa kule Roma anakotaka kwenda?