Nampenda Evelyn Salt

Sasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamke
Mkuu Evelyn salt usiumize kichwa bure ukiona mti ndege wengi wanatua jua unaliwa huo ww ni mtu ya nguvu ndiyo maana watu wanashindwa kuvumilia mapovu yanawatoka ila sisi wahenga hatuna shidi niachieni Evelyn wangu jamani kwani mlikuwa wapi mda wote huo mpaka nilipoomba mm?
 
Hujui hawa walimu ni watani zangu? Hasa anayesubiri kijacho (ati moyo wako umemdondokea). Mwanaume ni afadhali afe kuliko kufumuliwa marinda. Isipokuwa kama ni kutibiwa ugonjwa kama hemicolectomy, Hemorrhoidectomy au Kupima BPH
Nitajuaje na sina shida kujua habari zako ninayehitaji kumjua ni Evelyn si ww
 
Back
Top Bottom