Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

Kama unampenda kikazi siyo mbaya. Kama unampenda kwa ajili ya upedeleo ni tatizo. Kama unampenda kwa mapenzi, angalia kama hana mtu jaribu bahati yako. Cheo ni dhamana tu, na boss jina tu, mwisho wa siku ni binadamu wa kawaida kama wewe, mwenye matamanio na hisia kama wewe.
 
Tafuta kanguo kalainiiii halafu very tight, ingizana nako ofisini one day huku huna kitu ndani. Asipo kuangalia mara mbili jua haingiliki nawe funga virago uende home kwako ukalie machoziiii mpaka akutoke moyoni kabsa

Kaaazi kweli kweli!
 
Kama unampenda kikazi siyo mbaya. Kama unampenda kwa ajili ya upedeleo ni tatizo. Kama unampenda kwa mapenzi, angalia kama hana mtu jaribu bahati yako. Cheo ni dhamana tu, na boss jina tu, mwisho wa siku ni binadamu wa kawaida kama wewe, mwenye matamanio na hisia kama wewe.

ahsante smart
 
Hata mshahara anaopokea sijui ni shilling ngapi!!!sijui hata anaishi vipi.Ninachojua Boss ni player hko ndicho ninachojua

Mama sasa kama ni player .... unataka na ww uplaeishwe? ..... nipende mimi basi sio player kabisa nimekupenda sana .... :sly:😉
 
Halafu nakuangaliaga unavyoniangalia, kumbe ni kweli? Nakucheki tuu!! Embu womanity njoo ofisini tuzungumze.
 
Last edited by a moderator:
Mama sasa kama ni player .... unataka na ww uplaeishwe? ..... nipende mimi basi sio player kabisa nimekupenda sana .... :sly:😉

sasa wewe utakuwa player zaidi yake mara hii umenipenda!!!lahaula!!!
 
Nampenda boss wangu nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha.Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia nifanye nini anitoke.

Njoo uwe rafiki yangu wa hiyari utamsahau huyo bosi wako
 
Mwalike kwako akiwa sitting room muage unaenda kuoga alafu rudi haraka ukiwa na kanga moja na kanga imelowa chapa chapa, hapo kama hajapandisha mzuka jua ana matatizo.
 
nimechekaje...naanzaje kwanza..nimeshalia ila kajamaa kamekomaa yaani sina raha.kama unaweza nisaidie tu kumnyofoa

WOMANITY sijakuelewa, eti unasema usaidiwe kumnyofoa nini???? mbavu zangu mie
 
Heshima yako Mkuu, shukrani sana. Binti naona amemzimia Boss wake huku akiteseka moyoni kimya kimya. Amtokee tu siku moja wakiwa wenyewe wawili, "Boss weekend hii unafanya nini" jibu la Boss linaweza kumpa muelekeo kama kuna dalili ya penzi au la.

Ahsante kwa burudani kaka mkubwa BAK....
 
Madhara ya kutembea na bosi
1: Utakuwa mtumwa wake mara mbili (kazi na mapenzi), though inategemea
2: Mapenzi yakiisha, basi na kibarua nacho kimeota nyasi
3: Itategemea analichukuliaje hilo jambo...unaweza ishia kudharauliwa tu
4: n.k

Ushauri:
1: Jiweke bize na mambo yako ukiwa na free time
2: Jiweke bize na kazi muda utakapokuwa kazini
3: Kama ulikuwa na mawasiliano ya ziada na bosi wako mbali ya mambo ya kazi, acha kufanya hivyo
4: Weka distance kati yako na huyo bosi
5: n.k
 
Back
Top Bottom