Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

Nampenda boss wangu nifanyaje anitoke akilini?

ñishapata taarifa zako muda mrefu sio km sikupend tatzo huna vigezo nivitakavyo,
ndo maana muda mwing niko na vicky kuz tunafit
sitegemei km utaendelea kuumia
over!!!
 
nimechekaje...naanzaje kwanza..nimeshalia ila kajamaa kamekomaa yaani sina raha.kama unaweza nisaidie tu kumnyofoa

Mfano ukipata msaada wa kuunganishwa nae, je uta comply?
 
Kuficha hisia zako kwa mtu umpendae kwa dhati haimaanishi kuwa umetibu jeraha la huba lililo ndani yako kwani huyo mtu tayari anaishi ndani yako..na jitihada zozote za kumuondoa ndani yako vitaasababisha vita kali baina ya moyo wako na dhamira yako..huna budi kumweleza ili kuutua mzigo wa huba ulioubeba moyoni mwako......
 
Heshima yako Mkuu, shukrani sana. Binti naona amemzimia Boss wake huku akiteseka moyoni kimya kimya. Amtokee tu siku moja wakiwa wenyewe wawili, "Boss weekend hii unafanya nini" jibu la Boss linaweza kumpa muelekeo kama kuna dalili ya penzi au la.

hiyo ndio njia nyepesi yakumuingia, vinginevyo ataendelea kulia kila siku....
 
Madhara ya kutembea na bosi
1: Utakuwa mtumwa wake mara mbili (kazi na mapenzi), though inategemea
2: Mapenzi yakiisha, basi na kibarua nacho kimeota nyasi
3: Itategemea analichukuliaje hilo jambo...unaweza ishia kudharauliwa tu
4: n.k

Ushauri:
1: Jiweke bize na mambo yako ukiwa na free time
2: Jiweke bize na kazi muda utakapokuwa kazini
3: Kama ulikuwa na mawasiliano ya ziada na bosi wako mbali ya mambo ya kazi, acha kufanya hivyo
4: Weka distance kati yako na huyo bosi
5: n.k

ka kweli nashukuru
 
jiulize mara nyingine , bila kuwa boss ungempenda / mfano ameondolewa kwenye post ama kafilisika mkakutana barabarani utampenda? Kama utampenda hakuna haja ya kujivunga ila tahadhari je wewe ni wa kiwango chake kama sio atakugegeda kihunhuni kasha akufukuze mara mora moja. Kama ni wa kiwango chake anaweza kukulinda ili akugegede zaid
 
i doubt i know u!!!OMG
 
Badilisha upendo uwe wa kaka na dada
 
wabongo banah! ndio maana hatuendelei, muda wote tunawaza ngono tu hata mahali pa kazi hatuheshimu kabisa majukumu yetu
 
Back
Top Bottom